USIKAE GIZANI

Loading...

Monday, June 4, 2012

Wakawaka Hung'aa zaidi ya zote!Taa ya solar ya Wakawaka  inazidi taa zingine katika ubora kwa kuwa madhubuti na kutoa mwanga mkali na kwa muda mrefu baada ya  kuwekwa juani kwa muda mfupi. Vyote hivi vimethibitishwa kwani taa hizo zimefanyiwa majaribio madhubuti kabla ya kutolewa kiwandani. Video hii hapo chini inaonyesha hayo udhubuti huo.No comments:

Post a Comment