Saturday, May 12, 2012

Taa ya Wakawaka Tanzania


Kwa vile uvumbuzi uliotumiwa katika taa hizi ni mpya kabisa, ndio kwanza taa za kwanza zimetoka kiwandani mwezi huu wa Mei 2012. Tunatarajia kuzipeleka kwa wananchi, hasa wale waishio vijijini na kutaka kuona mawazo yao kwanza kuhusu taa hizi. Baada ya taa hizi kutengenezwa, zilifanyiwa majaribio na zimedhihirika kuwa zinaweza kukabili mazingira magumu sana, kama vile kunyeshewa na mvua, kuzamishwa kwenye maji na hata kuvumilia joto kali.


Habari zaidi utazipata www.bestlifeafrica.org


2 comments:

  1. dear William, thanks you so much for putting this Swahili language information on the web. Together let's help lighten up millions of lives with the WakaWaka!
    Thanks!
    Maurits Groen, co-founder with Camille van Gestel of the WakaWaka solar LED lamp

    ReplyDelete
  2. Thank you.

    It is our intention to reach as many people as possible, especially the end users.
    ---------------------------
    Ni nia yetu kuwakilisha hii habari kwa watu wengi iwezekanavyo, hasa kwa wale ambao wanatajariwa kutumia hizi taa.

    ReplyDelete